Jinsi Ya Kuweka Pesa Kwenye Akaunti Yako Ya 1xbet

Jinsi Ya Kuweka Pesa Kwenye Akaunti Yako Ya 1xbet

04 Oct, 2018

Baada ya kuwa tayari umekwishajiunga na 1xBet ili kuweka pesa katika akaunti yako unatakiwa kubofya sehemu iliyoandikwa My account kisha utabofya sehemu iliyoandikwa Top up account.

Baada ya kuwa umebofya Top up account utabofya sehemu iliyoandikwa mobile payments kisha utaona njia tatu za kuweka pesa katika akaunti yako ambayo ni Airtel Money, Tigo Pesa na Vodacom M-Pesa

Baada ya hapo utachagua njia utakayotumia kati ya hizo tatu na utatumia namba ambayo umetumia kujisajili 1xBet. Kwa mfano endapo utachagua Vodacom M-pesa basi utaweka kiwango unachotaka kuweka katika akaunti yako (kwa mfano unataka kuweka shilingi laki moja basi unapaswa kuweka100000 kisha utaweka namba yako ya Vodacoml ambayo umetumia kujisajili 1xBet kisha utabofya confirm.

Baada ya hapo utatumiwa ujumbe kwenye simu yako ukikuelekeza namna ya kuweka pesa katika akaunti yako. Maelekezo haya ni kwa njia ya Vodacom M-Pesa, Airtel money na Tigo Pesa pia

Account deposit Piga *150*00# Chagua 5: Lipa kwa M-Pesa Chagua 4: Ingiza namba ya kampuni:400700 Ingiza namba ya kumbukumbu: 008009b Ingiza kiasi: 100000.0000

Ukiishaweka pesa yako muda huo huo utaiona katika akaunti yako na utaanza kuweka mikeka yako ukifurahia huduma za 1XBet.